Aug 19, 2013

WAKALI WA SAYARI YETU NA AFRIKA YETU 93.0Mfaume Pastory na Catherine Shayo ni watangazaji wa kipindi cha AFRIKA YETU ndani ya 93.0 ya Jogoo FM Songea kwani sisi ni wa AFRIKA halisi karibu sana kuisikiliza show yetu kila siku za Juma Pili saa nane kamili mmchana hadi saa kumi kamili jioni.

Lakini ni watangazaji wa kipindi mahiri cha SAYARI YETU cha Jogoo FM ambacho hurushwa kila siku za wiki juma tatu hadi Ijumaa kuanzia saa kumi kamili jioni hadi saa kumi na mbili kamili jioni........JISIKIE FAHARI, KUISIKILIZA SAYARI .
 WAKALI WA KIPINDI CHA SAYARI NA AFRIKA NA AFRIKA YETU YA 93.0 MOTO CHINI
 TIMU nzima ya kipindi cha AFRIKA YETU ya 93.0 Jogoo Fm kulia Papaa Ramso mutu yenyekujua lighu mingi1!! Ni mtafsri wa nyimbo za kongo anajua lingala, France nk....anafuata ni Catherine shaya Mama wa Afrika yetu na Papaa Mufaume, Paster....Muzee matata wa Afrika yetu......Lakini ni watangazaji wa kipindi mahiri cha SAYARI YETU cha Jogoo FM ambacho hurushwa kila siku za wiki juma tatu hadi Ijumaa kuanzia saa kumi kamili jioni hadi saa kumi na mbili kamili jioni........JISIKIE FAHARI, KUISIKILIZA SAYARI .Tuko na mtu wetu anae tuhakikishia usalama wetu bwana


No comments:

Post a Comment