Dec 17, 2013

MKAZI WA MOSHI AKABIDHIWA JENERETA YAKE YA WEKA UPEWE YA NBC


Ahmad Michuzi at JIACHIE - 6 hours ago
*Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Moshi, Ally Janja (wa tatu kushoto) akikabidhi funguo ya jenereta la umeme kwa mshindi wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Michael Charles Kipingu katika hafla iliyofanyika katika tawi hilo mjini Moshi hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni Shedafa Omari Shedafa mmoja wa mashuhuda katika tukio hilo, Mhasibu wa Tawi, Rose Ntwale, Lazaro Mollel, teller na Digna Sawalla Meneja Huduma kwa Wateja na Mauzo katika tawi hilo. * *Mshindi wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Michael Charles Kipingu (kushoto) akijaribu kuwasha jenereta yake mara baada ya kukabi..

Rais Kikwete afungua mkutano wa TNBC jijini Dar es Salaam leo* Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation(TPSF) Dr.Reginald Mengi wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda. 

Chini akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano huo* 

*Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya Tanzania National Business Council muda mfupi kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa TNBC uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo