Jul 15, 2009

JE UNAWATAMBUA

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha habari cha Dar es salaamu nchini Tanzania katika picha ya pamoja mkoni Iringa walipokuwa katika safari kimasomo.

Mwenye kofia nyekundu ndiye Mfaume Pastory ambaye kwa sasa anakualika wewe il uweze kuwa mtembeleaji wa blog yake katika kufahamishana yale yote yatakayokuwa yakiendelea ulimwenguni.

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA HABARI


Habari za wakati msomaji,nafuraha tele kwa suala zima la mimi na wewe kuweza kuungana pamoja katika ulimgu huu wa habari.
Langu jina ni Mfaume Pastory kutoka Tanzania jijini Dar es salaam pichani niko pamoja na rafiki dada yangu Herieth sote tukiwa ni wanahabari.
Dhamira kubwa nikukujulisha kwamba sasa Mfaume Pastory tayari nina blog ambayo ni www.mfaumepastory.blogspot.com .Karibu