Rais Kikwete afungua mkutano wa TNBC jijini Dar es Salaam leo
* Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tanzania
Private Sector Foundation(TPSF) Dr.Reginald Mengi wakati wa ufunguzi wa
Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam
leo.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Chini akihutubia wakati wa ufunguzi
wa mkutano huo*
*Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa
bodi ya Tanzania National Business Council muda mfupi kabla ya ufunguzi wa
Mkutano wa TNBC uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam
leo
No comments:
Post a Comment