MKAZI WA MOSHI AKABIDHIWA JENERETA YAKE YA WEKA UPEWE YA NBC
Ahmad Michuzi at JIACHIE -
6 hours ago
*Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Moshi, Ally Janja (wa tatu kushoto)
akikabidhi funguo ya jenereta la umeme kwa mshindi wa promosheni ya Weka
Upewe ya NBC, Michael Charles Kipingu katika hafla iliyofanyika katika tawi
hilo mjini Moshi hivi karibuni. Wengine kutoka kushoto ni Shedafa Omari
Shedafa mmoja wa mashuhuda katika tukio hilo, Mhasibu wa Tawi, Rose Ntwale,
Lazaro Mollel, teller na Digna Sawalla Meneja Huduma kwa Wateja na Mauzo
katika tawi hilo. *
*Mshindi wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Michael Charles Kipingu
(kushoto) akijaribu kuwasha jenereta yake mara baada ya kukabi..
No comments:
Post a Comment