Aug 16, 2011

NIUTAMADUNI WA MZANZIBAR ANAPOUGAWANYA MWEZI TU BAASI MIALIKO YA KUFUTARISHANA KUNAANZA




















HUYU NDIYE SALMA ALEY MKURUGENZI MSAIDIZI
CHUCHU FM RADIO AKIWAJIBIKA KWA WAFANYAKAZI
WAKE BAADA YA KUWAALIKA KWA FUTARI YA JIONI



















KATIKATI NI MKURUGENZI WA CHUCHU FM RADIO
BOSS SAIDI ALEY LAKINI UPANDE WAKULIA NI
MKALI WA MTANGAZAJI MWA TALENT YA AINA YAKE
MWITE MKALI WA X-CLUSIVE MFAUME PASTORY NA
KUSHOTI NI MKALI WA WAKE UP CALL YA CHUCHU FM
MULHAT WADORIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
NA MKUU WAO




















MFAUME PASTORY MZEE WA X-CLUSI YA
EAST AFRIKAN FLAVER YA CHUCHU FM
AKIWA NA UHTI BATULI RASHID WA CHUCHU FM
BAADA YA KUPATA FUTARI KATIKA MWALIKO
ULIOTOLEWA NA BOSS WAO NYUMBANI
KWAKE



















MALKIA WA MIPASHO CHUCHU FM KATIKATI
REHEMA NYAMAKA AKIWA NA WAKALI
MULHAT WA DORIA NA MFAUME PASTORY




















RAHMA MWANDISHI CHUCHU FM



















MKALI WA X-CLUSIVE KWAMATONGE BWANA



















MENEJA CHUCHU FM SAID ALEY AKIJIPATIA
FUTARI YAKE KATIKA MWALIKO ALIOUTOA
KWA WAFANYAKAZI WAKE



















KAMA HUMJUA MULHAT WA DORIA CHUCHU FM
BASI NDIE HUYU NA YEYE ANAJUA KULA KIAINA



















HIVYONDIVYO ILIVYOKUWA BWANA














BAKARI KAULETE AKIWAKATIKAPOZI KABLA
MUDA WAFTARI HAUJAWADIA
















KUTOKA KUSHOTO NI HALIFA MMANGA WATATU
NI EMANUEL MSUYA NA WANNE NI ISSA NDOKEJI






























No comments:

Post a Comment