Jul 8, 2011

YES NI MIMI MFAUME PASTORY




HABARI NDIO TAALUMA YANGU

KUANDIKA NIMZURI

KUTANGAZA USIPIME

SIPENDI SANA WATU WANAOWAPATIA UONGOZI WATU WASIOJUA NINI MAJUKUMU YAO.

KWANI WAMEKUA WAKISABABISHA UMASIKINI WA WATU WENGI SANA PASIPOKUA NA HATIA.



HAPA NILIKUA KATIKA OFISI YANGU YA CHUCHU FM RADIO NA HIMU NI NEWS ROOM. IKO POA

No comments:

Post a Comment